Rais wa Tanzania wa awamu ya Tano Dkt.John Pombe Magufuli katika kasi
yake ya kutumbua majipu hatimaye,amevunja bodi yote ya Bandari na
kutengua uteuzi wa Mkurugenzi mkuu wa bandari Bw.Awadhi Massawe
(Pichani) na ameagiza wote wawekwe chini ya ulinzi .
Rais pia amemsimamisha kazi
katibu mkuu wizara ya uchukuzi Bw.Shabani Mwinjaka.
No comments:
Post a Comment