Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF ambaye pia ni
Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad jijini
Dar es Salaam. Maalim Seif aliruhusiwa kutoka hospitalini jana na hali
yake inaendelea vizuri.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF ambaye pia ni
Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad jijini
Dar es Salaam. Maalim Seif amemshukuru Rais Dkt. Magufuli kwa kumjulia
hali na kusema kuwa hali yake ya kiafya inaimarika siku baada ya siku.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF ambaye pia ni Makamu
wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad jijini Dar es
Salaam mara baada ya kumjulia hali jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment