Jana August 21 2016 kupitia kipindi cha funguka kinachorushwa
na kituo cha television cha Azam Tv, mbunge wa Vunjo na mwenyekiti wa
chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia aliizungumzia kauli iliyotolewa na
Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano kuwa anakusudia kutafuta
maridhiano baina ya wabunge wanaounda umoja wa katiba, UKAWA na naibu
Spika.
Mbatia
alisema, Kauli ya Spika Ndugai ni kauli yenye kuleta matumaini kwa
sababu wao ndani ya wabunge wa upinzani walichokuwa wanataka ni
maridhiano....
No comments:
Post a Comment