Rais 
 Magufuli akiwa ameambatana na mkewe mama Janeth,wakisalimiana na 
wenyeji wao mara baada ya kuwasili Pemba mapema leo kwa ziara ya kikazi 
ya siku mbili visiwani humo,ambapo hapo baadae ataelekea Unguja 
kuendelea na ziara yake ya kikazi .
Rais
 Magufuli akitazama kikundi cha ngoma baada ya kutua Pemba ambapo pia 
ameenda kuzulu kaburi la aliyekuwa Makamu wa Rais, Dk Omary Ali Juma. 
Baadaye saa tisa alasiri atafanya mkutano wa hadhara katika uwanja wa 
Gombani ya Kale, Pemba. Picha na Ikulu
 
No comments:
Post a Comment