Jiji la Mbeya ni miongoni mwa majiji matano ya Tanzania
yanayokuwa kwa kasi kila siku, ukiondoka na ukarudi baada ya mwaka
utakutana na mabadiliko makubwa ya mji, leo nimekusogezea picha za
baadhi ya maeneo na muonekano wake.
Jengo linalosemekana ndio refu kuliko yote Mbeya






No comments:
Post a Comment