Timu za Simba na Yanga
 mara nyingi zinapokutana huwa kuna mambo mengi ya kuchekesha huwa 
yanajitokeza, hususani utani wa mashabiki wa pande zote mbili kutoleana 
maneno ya utani kabla na baada ya mechi, hususani timu moja wapo 
inapomfung mwenzake.
October 1 2016 uwanja wa Taifa Dar es Salaam katika mchezo wa watani wa jadi uliochezwa na kumalizika kwa sare ya goli 1-1, Freeman Mbowe  ambaye ni mbunge na kiongozi wa chama cha siasa cha CHADEMA alikuwa ni moja kati ya mashabiki wa Yanga waliojitokeza na kushangilia kwa furaha goli la Amissi Tambwe lililofungwa mkono ukiwa umehusika kucheza mpira.

Zitto Kabwe
Baada ya mechi mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe ambaye ni shabiki wa Simba alitumia account yake rasmi ya twitter na kuandika ujumbe wa utani kwa Freeman Mbowe ambaye alishangilia goli la utata la Tambwe “Mwenyekitiwangu Freeman Aikaeli Mbowe anatambua goli la mkono la Tambwe lakini hamtambui Lipumba “
Utani wa Zitto Kabwe kwa Mbowe kushangilia goli la mkono la Tambwe
      on
      
No comments:
Post a Comment