Mkuu
wa Idara ya Fedha wa Benki ya NMB, Veronica Pascal (wa pili kushoto)
akipokea tuzo kwa niaba ya NMB toka kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya
Fedha Dk. Hamisi Mwinyimvua baada ya kuibuka washindi wa kwanza kwa kuwa
na hati safi ya taarifa za fedha kwa upande wa mabenki nchini katika
ukaguzi uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu
(NBAA) kwa mwaka 2014. Tuzo hizo zilitolewa jana Bunju nje kidogo ya
jiji la Dar es Salaam na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu
Tanzania. Jumla ya makampuni na taasisi 58 zilishiriki katika
kinyang’anyiro hicho cha ukaguzi wa taarifa za fedha kwa hiyari.

wa Idara ya Fedha wa Benki ya NMB, Veronica Pascal (kulia)
akibadilishana mawazo na baadhi ya maofisa wawakilishi kutoka makampuni
na taasisi anuai zilizoshiriki kupokea tuzo za washindi wa hati safi za
taarifa za fedha kwa makampuni na idara anuai nchini katika ukaguzi
uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa
mwaka 2014.
Katibu
Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA), Pius
Maneno akizungumza katika hafla ya kutoa tuzo kwa makampuni na taasisi
zilizofanya vizuri katika ukaguzi wa taarifa za fedha kwa makampuni na
idara anuai nchini katika shindano la ukaguzi uliofanywa na Bodi ya
Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014.
Mgeni
rasmi, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Hamisi Mwinyimvua
(kulia) akizungumza katika hafla ya kutoa tuzo kwa makampuni na taasisi
zilizofanya vizuri katika ukaguzi wa taarifa za fedha kwa makampuni na
idara anuai nchini katika shindano la ukaguzi uliofanywa na Bodi ya
Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014. Jumla ya
makampuni na taasisi 58 zilishiriki katika kinyang’anyiro hicho cha
ukaguzi wa taarifa za fedha kwa hiyari.Baadhi
ya wawakilishi wa makampuni na taasisi zilizoshiriki katika mashindano
ya ukaguzi wa taarifa za fedha za makampuni yao uliofanywa na Bodi ya
Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014 wakiwa
katika hafla ya kupokea tuzo zao toka kwa mgeni rasmi, Naibu Katibu Mkuu
wa Wizara ya Fedha, Dk. Hamisi Mwinyimvua (wa pili kulia) jana Bunju
jijini Dar es Salaam katika kituo cha mikutano cha Bodi ya Taifa ya
Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania. Jumla ya makampuni na taasisi 58
zilishiriki katika kinyang’anyiro hicho cha ukaguzi wa taarifa za fedha
kwa hiyari. Mkuu
wa Idara ya Fedha wa Benki ya NMB, Veronica Pascal (wa pili kushoto)
akipokea tuzo kwa niaba ya NMB toka kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya
Fedha Dk. Hamisi Mwinyimvua baada ya kuibuka washindi wa kwanza kwa kuwa
na hati safi ya taarifa za fedha kwa upande wa mabenki nchini katika
ukaguzi uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu
(NBAA) kwa mwaka 2014. Mkuu
wa Idara ya Fedha wa Benki ya NMB, Veronica Pascal (katikati)
akibadilishana mawazo na baadhi ya wawakilishi kutoka baadhi ya
makampuni na taasisi zilizoshiriki kupokea tuzo za washindi wa hati safi
za taarifa za fedha kwa makampuni na idara anuai nchini katika ukaguzi
uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa
mwaka 2014.
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Hamisi Mwinyimvua (wa pili kulia)
akimkabidhi tuzo Meneja wa Fedha wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL),
Godlove Michael Mville (wa pili kushoto) baada ya TTCL kuibuka Washindi
wa Pili kwa makampuni ya Biashara na Ushambazaji kwenye ukaguzi wa
taarifa za fedha katika shindano lililoendeshwa na Bodi ya Taifa ya
Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014.Mkurugenzi
wa Fedha wa Mamlaka ya Kodi Tanzania (TRA), Saleh Mshoro akipokea tuzo
ya ushindi wa pili wa hati safi katika taarifa za fedha kwa mamlaka za
umma taasisi za serikali katika mashindano ya hiyari ya ukaguzi wa
mahesabu uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu
(NBAA) kwa mwaka 2014. Tuzo hizo zimetolewa jana Bunju nje kidogo ya
jiji la Dar es Salaam na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu
Tanzania.Kutoka
kushoto ni Meneja wa Fedha wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Godlove
Michael Mville, Ofisa Uhusiano TTCL, Edwin Mashasi na Ofisa kutoka Idara
ya Fedha TTCL, Allan Peter Ngowi wakipiga picha na tuzo ya kampuni yao
kwenye hafla ya kupokea tuzo kwa makampuni na taasisi zilizofanya vizuri
katika ukaguzi wa taarifa za fedha kwa makampuni na idara anuai nchini
katika shindano la ukaguzi uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na
Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014. TTCL pia ilitwaa tuzo kwa
kufanya vizuri katika taarifa za fedha.Baadhi
ya wawakilishi wa makampuni na taasisi zilizoshiriki katika mashindano
ya ukaguzi wa taarifa za fedha za makampuni yao uliofanywa na Bodi ya
Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014 wakipata
picha ya kumbukumbu katika hafla ya kupokea tuzo zao toka kwa mgeni
rasmi, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Hamisi Mwinyimvua
katika kituo cha mikutano cha Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa
Hesabu Tanzania.Mhasibu
Mkuu Chuo Kikuu cha Kanisa Katoliki katika Afya na Tiba Bugando
Boniface Kwiyeya (wa pili kushoto) akipokea tuzo kwa niaba ya chuo hicho
toka kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Hamisi Mwinyimvua
baada ya chuo hicho kuibuka washindi wa kwanza kwa hati safi ya taarifa
za fedha kwa upande wa vyuo nchini katika ukaguzi uliofanywa na Bodi ya
Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014. Tuzo hizo
zimetolewa jana Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam na Bodi ya
Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania.
Wawakilishi wa Benki ya NMB, Veronica Pascal (kushoto) Pamoja na Mkuu wa Kitengo cha Biashara, Benson Bimbiga wakipiga picha ya ukumbusho mara baada ya kupokea tuzo kwa niaba ya NMB baada ya kuibuka washindi wa kwanza kwa kuwa na hati safi ya taarifa za fedha kwa upande wa mabenki nchini katika ukaguzi uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014. Tuzo hizo zilitolewa jana na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania.Baadhi ya wawakilishi wa makampuni na taasisi zilizoshiriki katika mashindano ya ukaguzi wa taarifa za fedha za makampuni yao uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014 wakipata picha ya kumbukumbu katika hafla ya kupokea tuzo zao toka kwa mgeni rasmi, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Hamisi Mwinyimvua katika kituo cha mikutano cha Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania. Jumla ya makampuni na taasisi 58 zilishiriki katika kinyang’anyiro hicho cha ukaguzi wa taarifa za fedha kwa hiyari.

No comments:
Post a Comment