
Kocha wa Taifa Stars Boniface Mkwasa March 8 katangaza kuita kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania kitakachojiandaa na mchezo dhidi ya Chad ila kamjumuisha na Mwinyi Kazimoto ambaye waandishi walihoji kwa nini kaitwa wakati ana kesi ya kutuhumiwa kumpiga mtu.
“Nafikiri
kunataratibu, kwanza kwangu mimi hayo ni maisha yake binafsi na huwezi
kumuingilia, kwangu mimi mchezaji anatumika pale anapokuwa amefuata
taratibu za soka, sasa mchezaji akitoka akampiga mtu konzi mtaani,
halafu unaleta kwenye mpira huku, havihusiani” >>> Boniface Mkwasa
No comments:
Post a Comment