Afande Sele ni miongoni mwa
wasanii wa siku nyingi Tanzania ambao wamekua wakifatilia pia na ishu za
siasa na mengine yanayoendelea ambapo leo hii ametumia time yake
kuandika kwenye Facebook kuhusu ishu ya dawa za kulevya iliyotangazwa
na mkuu wa mkoa Paul Makonda.Afande ameandika ‘Katika hili sakata la MAPAPA na MAPUNDA ya Unga kama kweli braza Paul yupo serious na sio ‘Matango Pori’kama tulivyoona ktk masakata mengine,huenda hata wale WASAFI wakaonekana wachafu…kila la kheri Mr Paul….RiP Da Amina…wacha parry ianzeee…..’

No comments:
Post a Comment