Picha aliyoipost mwimbaji staa wa Marekani Beyonce na kuthibitisha kuhusu ujauzito wake wa Mapacha imeivunja rekodi hiyo kwa kupata likes MILIONI 6.3 ndani ya saa 8 toka ipostiwe ambapo mpaka leo February 3 2017 22:47 EAT ina likes zaidi ya milioni 9.
Beyonce ameivunja rekodi ya mwimbaji Selena Gomez ambae alikua anaishikilia rekodi ya likes Milioni 6.3 kwenye picha aliyoipost June 25 2016.
No comments:
Post a Comment