Thursday, December 10, 2015

50 Cent anatualika kuitazama video yake mpya ‘Too Rich’



Inawezekana kabisa 50 Cent hajashika chati za juu na muziki wake kwa kitambo sasa hivi lakini jamaa huwa anatoa video mpya mara kwa mara ambapo leo ni zamu ya hii ‘Too rich’

No comments:

Post a Comment

Disqus Shortname

Comments system