Timu
ya Ushrika wakijandaa kuvuta kamba katika bonanza la kumbukumbu ya
Mwenyekiti wa kwanza wa klabu ya Moshi veterani Marehemu Madesho Moye.
Timu za Maveterani wa KIA na Kitambi noma ya Arusha wakioneshana kazi katika kuvuta kamba.
Mashindano
ya Mbio za mita 100 pia zilikuwa kivutio hapa ,Salvatory Mtanange
akionesha uwezo wa kukimbia mita 100 ambapo alifanikiwa kushinda.
Mwamuzi maarufu wa mchezo wa kukimbiza kuku nchini akiingia uwanjani kwa ajili ya mchezo huo.
Kikosi cha timu ya Ushirika Veterani.
Kikosi cha wachezaji wa timu ya Kitambi noma.
Wachezaji
wa timu ya Moshi eterani wakiongozwa na nahodha wao mpya aliyesajiliwa
katika kipindi hiki cha dirisha dogo,Amosi Makala ambaye pia ni mkuu wa
mkoa wa Kilimanjaro wakinyoosha kabla ya kuanza mpambano.
Amosi Makala akijaribu kutaka kupita walinzi wa timu ya Ushirika Veterani.
Baadhi
ya Mashabiki wa timu mbalimbali za maveterani zilizoshiriki Bonanza la
kumbukumbu ya Mwanzilishi wa klabu ya Moshi Veterani,Marehemu Madesho
Moye.
Mshambiliaji
wa klabu ya Ushirika Veterani Tumaini Masue akijaribu kutafuta njia za
kutaka kumpita mlinzi wa timu ya Kitambi noma.
Masue akijaribu kuzuia mara baada ya kushindwa kupita .

Mke wa Marehemu Madesho,Shufaa Madesho alikuwepo uwanjani hapo kufuatilia Bonanza hilo.
Mke wa
Marehemu Madesho ,Shufaa Madesho akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro
,Amosi Makala ambaye pia alikuwa mgeni rasmi katika Bonanza hilo
wakifuatilia mchezo.
Zawadi
zikatolewa kwa mchezaji Cunbert Ngambira wa timu ya Maveterani wa KIA
baada ya kushinda mbio za Mita 100 kwa wenye umri wa miaka 30-40.


Washindi wa pili timu ya Maveterani ya Best Maridadi ,wakakabidhiwa kikombe ,kikapokelewa na Ismail .
Washindi
wa kwanza kwa upande wa mpira wa miguu timu ya Maveteran wa njia panda
ya Ulaya KIA,wakakabidhiwa kikombe na mgeni rasmi ,Amosi Makala.
KIA wakifurahia kikombe chao cha kwanza tangu kuanzishwa kwa timu hiyo.
Mgeni
rasmi katika Bonanza hilo mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Amosi Makala
akizungumza mara baada ya kukabidhi zawadi kwa washindi.
Mke wa Marehemu Madesho akizungumza katika Bonanza hilo.
Baadhi ya ndugu waliofika katika Bonanza hilo.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini
No comments:
Post a Comment