Saturday, December 12, 2015

Ni time nyingine kwa wanavyuo UDSM, CBE , IFM kwenye #TIGOuniversityVIP


Tigo imekua ikitoa nafasi za watu wa nguvu kwenye vyuo vya UDSM, IFM, CBE- DAR, Utumishi Mtwara na Mzumbe Morogoro kuenjoy weekend zao na marafiki baada ya kushinda kwenye droo ambayo inachezeshwa kutokana na Wanachuo wanaosogelea gulio la Tigo chuoni kwake na kufanya chochote kinachopatikana.
Sasa usiku wa Dec 12, 2015 washindi watatu kutoka kwenye vyuo totauti (UDSM, CBE,IFM) walipewa hadhi ya ki-VIP kutoka Tigo.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

No comments:

Post a Comment

Disqus Shortname

Comments system