Kuelekea michuano ya Euro 2016 mshambuliaji wa Liverpool aliyepo kwa mkopo katika klabu ya AC Milan ya Italia Mario Balotelli,
ameingia katika headlines baada ya kuandika ujumbe ambao hadi sasa
unashindwa kueleweka kuwa staa huyo amekusudia nini au lengo lake hasa
ni nini?
Mario Balotelli ameingia katika headlines baada ya kuandika ujumbe katika account yake ya Instagram unaohusiana na michuano ya Euro 2016 inayotegemea kufanyika Ufaransa, Balotelli ambaye amepoteza namba katika kikosi cha timu ya taifa ya Ufaransa aliandika ” Can’t wait” huku akiambatanisha na picha ya kundi B ambalo lina timu za Ubelgiji, Ireland, Sweden na Italia.
No comments:
Post a Comment